EBOOK
Kiswahili

Salamu Kutoka Kuzimu

Ben R. Mtobwa
(0)

About

Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha Ö Akikusalimu umekwisha Ö Hana mdhaha ÖLakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa mojaÖ ìBendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,î anasema akichekelea. ìSijawahi kushindwa Öî Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.

Related Subjects

Artists